TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Rosetta (chombo cha angani)

The Typologically Different Question Answering Dataset

Rosetta ni chombo cha angani cha Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga. Mwaka 2004 Kilirushwa kutoka kituo cha angani Kourou kwa roketi ya Ariane 5 kwa kusudi la kufikia nyotamkia ya 67P/Churyumov–Gerasimenko.

Rosetta ilitumika kwa mara ya kwanza mwaka gani?

  • Ground Truth Answers: 200420042004

  • Prediction: